Tigo
  • MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA WAGENI ILIYOFANYIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO SEGEREA TAREHE 12/04/2014

    MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA WAGENI ILIYOFANYIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO SEGEREA TAREHE 12/04/2016

     ILIKUWA NI SIKU YA FURAHA KWANI WANA NA BINTI ZA MUNGU WALIJUMUIKA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KUMWABUDU MUNGU NA PROGRAMU ZIKIWA ZIMEPANGILIWA VYEMA CHINI YA MKURUGENZI WA SHULE YA SABATO

    waimbaji wa kwaya ya kijichi wakimsifu Mungu katika siku hiyo

    Waimbaji wa kwaya ya mbezi luis wakiimba katika siku ya wageni kanisani segerea

    waimbaji wa kundi la The Pearl Gate Singers kutoka kanisa la waadventista wa sabato segerea walikuwa ni miongoni mwa waimbaji katika siku hiyo.Baadhi ya washiriki wa kanisa la waadventista wa sabato wakisikiliza mahubiri

     

     


  • You might also like