September 30 2016 waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amehamia makao makuu ya nchi Dodoma akitokea Dar es salaam, kabla ya kupanda ndege kuelekea huko Waziri mkuu Majaliwa
hakuacha kuwakumbusha watanzania wenye mapenzi mema na waathirika wa
tetemeko la ardhi Kagera kuendelea kuwachangia ikiwa ni ishara ya
kuendelea kuwafariji.
-
Alichokiongea Waziri mkuu Majaliwa leo wakati akielekea DodomaAlichokiongea Waziri mkuu Majaliwa leo wakati akielekea Dodoma
Alichokiongea Waziri mkuu Majaliwa leo wakati akielekea DodomaAlichokiongea Waziri mkuu Majaliwa leo wakati akielekea DodomaENG.EXAVERY MVULA 30 September