Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
maafisa na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi
ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa
ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles baada ya kukata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiingia kwenye ndege mojawapo baada ya kukata
utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400
zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania
(ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano
Septemba 28, 2016.


