MAKAMU WA RAIS KUONGOZA UPANDAJI MITI KESHO JIJINI DAR
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa upandaji miti Mkoa wa Dar
es Salaam.Akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake, Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema upandaji wa miti unaanza kesho
hivyo kila mwananchi wa Dar es Salaam anatakiwa kupanda mti mmoja ikiwa ni
kwa ajili ya ustawi wa afya.Amesema kuwa upandaji miti utafanywa katika
Wilaya yaTemeke kwa kupanda miti katika barabara ya Kilwa na baada kupanda
miti atakagua miundombinu ya maji kwa ajili ya kumwagilia mit.
MAKAMU WA RAIS KUONGOZA UPANDAJI MITI KESHO JIJINI DARENG.EXAVERY MVULA
30 September