Baadhi ya wafanya biashara soko la soweto jijini mbeya wakiwa katika
makundi makundi kujiandaa kwa maandamano kupinga ongezeko la ushuru wa soko
toka sh 200 na kuwa sh 300 kwani wanadai ongezeko hilo nikubwa na hawaelewi
pesa inakwenda wapi maana soko ni chafu mazingira ya kufanyia biashara
hayafai
Baadhi ya vijana wakijiandaa kuchoma matairi
Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la soweto wakipeana mikakati ya mgomo huo
Wateja wakiwa wanashangaa na hawajui la kufanya maana hakuna kinachouzwa
sokoni hapo
-
WAFANYABIASHARA SOKO LA SOWETO MBEYA WAGOMA KUPANDISHIWA USHURU SASA WAJIANDAA KUANDAMANA MPAKA KWA MKURUGENZI WA JIJI
WAFANYABIASHARA SOKO LA SOWETO MBEYA WAGOMA KUPANDISHIWA USHURU SASA WAJIANDAA KUANDAMANA MPAKA KWA MKURUGENZI WA JIJIENG.EXAVERY MVULA 30 September